Kiungo
wa Simba, Amri Kihemba akimtoka beki wa Sports Club Villa ya Uganda
katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam leo., Simba imeshinda 4-1. (Picha na Habari Mseto Blog)
Kipa
wa Sports Club Villa ya Uganda, Elungat Martins akiota mpira katika
nyavu la lango lake baada ya mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki
kuifungia timu yake bao la tatu katika mchezo wa kirafiki uliofanyika
kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Tunda Man, akitumbuiza katika tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment