Klabu ya
Manchester United leo imemtangaza mchezaji mkongwe zaidi wa klabu hiyo
kuwa kocha wakati akiwa bado anaendelea kuichezea klabu hiyo.
Taarifa hizo zimethibitishwa na mtandao rasmi wa Manchester United kwamba Giggs ambaye hivi karibuni alimaliza mafunzo yake ya ukocha atakuwa mmoja ya jopo la makocha watakaomsaidia David Moyes kuendesha jahazi liloachwa na Sir Alex Ferguson.
Pia wakati huo huo kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kwamba David Moyes amemteua Phil Neville kuwa kocha wa timu ya kwanza.

No comments:
Post a Comment