naamini utakuwa unaufahamu wa BIG BON kariakoo moja kati ya wafadhili wakubwa wa tawi la simba mpira na maendeleo kata ya upanga magharibi ambapo amekuwa msaada mkubwa sana kwetu kutokana na namna ambavyo amekuwa mstari wa mbele kuhakisha kuwa mpira na maendeleo wanasafiri na timu popote simba iendapo.
sio uuzaji wa mafuta tu hata pia bidhaa nyingine kama majiko ya gas na umeme na vifaa mbalimbali vya kutumia nyumbani vinapatikana karibu ujionee tofauti yao na sisi
siku zote ukiwa chini ya mikono salama ya wazee wenye zaidi ya busara basi kila ufanyacho lazima utafanikiwa na ndicho ambacho kinatupa nguvu ya kusonga mbele zaidi asante sana mlezi wetu mzee MATALI
siku zote ukiwa karibu na wafanyakazi wako basi watajiona kama sehemu ya familia na kufanya kazi kwa bidii zaidi
simba iko kwenye damu mpaka mitungi ya gas yenye rangi tofauti na nyekundu ni zaidi ya najsi ha ha ha ha ha ha katibu wa simba mpira na maendeleo anafanyanya utalii wa ndani
asante sana meneja mpira na maendeleo haina maneno mazuri ya kukushukuru mungu akupe miaka mingi
No comments:
Post a Comment