kama kawaida tawi la mpira na maendeleo la upanga magharibi liko ziarani bagamoyo ambapo moja kati ya dhima ya ziara hiyo ni kujaribu kikosi chao kilichosajiliwa hivi karibuni huku pia kikiongozwa na kaimu makamu mwenyekiti,huku benchi la ufundi likiwa chini ya king kibaden mputa na wasaidizi wake wote,wapenzi wa simba bagamoyo karibuni sana maeneo ya kalenga kulishuhudia CHAMA LA WANA aka MNYAMA UNYAMANI aka SIMBA SPORTS CLUB
Wazee wa mpira na maendeleo ha ha ha ha ha ha leo tena lazima turudi na kitoweo
vijana watakuwepo kuhakikisha kuwa wakazi wa bagamoyo wanapata burudani
kama kawa vigoma vitakuwepo kama kawa
mchawi wa mafanikio ndani ya simba kuiliongoza CHAMA LA WANA
CHAMA LA WANA
njoo uone balaa la wenzake wakati yeye akiwa na TAIFA STARZ kuiadabisha sudani wenzake watakuwa wakitoa burudani BAGAMOYO
No comments:
Post a Comment