mwenyekiti wa tawi la simba mpira na maendeleo kata ya upanga magharibi akishuhudia kijana akisema na mashabiki na wanachama wa simba yalipo makao makuu ya simba mtaa wa masimbazi
chollo boy akizungumza na mashabiki na wanachama wa mnyama aka unyama unyamani chama la wana makao makuu ya club ya simba
ngumi jiwe aka ngumi dongo katibu mkuu wa tawi la simba mpira na maendeleo akisikiliza kwa makini mbavu yake ya kulia ikitema cheche kwa mashabiki na wanachama wa chama la wana aka unyama unyamani aka simba sports club
wanachama na wapenzi wa tawi la simba mpira na maendeleo wakisikiliza kwa umakini wa pekee
kijana ni zaidi ya msikivu na muadilifu big up chollo boya aka mwana wa wana
ha ha ha ha ha ha ha ha ha mjomba akasimamisha kuuza gahawaaa kwa muda kusikiliza nini mwana wa wana aka chollo boy anabonga
maneno mazito toka kwa mwana wa wana yanawaingia kiasi watu wanasikilizia asee
hawa ndio wenye simba yao asee
''jamani nyinyi wenyewe ni mashahidi mi nimegomea milioni thalathi za mafisadi nakuja kucheza mpira kwangu hela sio kitu''
kijana akisikiliza nasaha za wazee wake
wakubwa kwa wadogo walipata fulsa ya kuchangia mawazo kwa mwana wa wana aka chollo boy
kama kawa kama ulidhani huku kuna wazee tu utakuwa umebugi mpaka makinda kama chama letu linavyoundwa
kama hapa we unadhani hawa raiaa walikuwa wana waza nini?
wakati wa kupata baraka kwa wazee wangu sasa
niko peace na kila mmoja
''nimekuelewa mzeee wangu ntazingatia hilo we subiri uone uwanjani
donee ya nauli kama kawa hapa ndo mpira na maendeleo asee
kaka kila lakheri
tuko pamoja kaka kulisukuma gurudumu la chama la wana
kama kawa haina shida niko na watu wangu wa mpira na maendeleo nini tena?
basi sawa haina tabu watu wangu wa ukweli
No comments:
Post a Comment