![]() |
Mfungaji wa bao la Stars, Amri Kiemba kushoto akimhamasisha Khamis Mcha 'Vialli' kuepeleka mpira baada ya bao wanze haraka kusaka mabao zaidi |
![]() |
Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa Morocco |
![]() |
Samatta huyooo |
![]() |
Samattaaaa |
![]() |
Thomas Ulimwengu akifumua shuti |
![]() |
Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Morocco |
![]() |
Samatta akiwatoka mabeki wa Morocco |
![]() |
Samatta alifanya kazi...basi tu haikuwa bahati yake |
![]() |
Samatta alikuwa tishio |
![]() |
Kikosi cha Morocco kilichoifunga Stars 2-1 |
![]() |
Watanzania waliokuja kuiunga mkono timu hapa |
![]() |
Mfungaji wa bao la Stars, Amri Kiemba akiwatoka wachezaji wa Morocco |
![]() |
Kikosi cha Stars leo |
![]() |
Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Morocco |
![]() |
Kevin Yondan akimdhibiti mshambuliaji wa Morocco |
![]() |
Shomary Kapombe akimfukuza winga wa Morocco |
![]() |
Mbwana Samatta alikuwa anakaba pia |
![]() |
Zacharia Hans Poppe kulia |
![]() |
Aggrey Morris alitolewa kwa kadi nyekundu kwa rafu iliyosababisha penalti na bao la kwanza la Morocco |
![]() |
Erasto Nyoni akipambana |
![]() |
Mashabiki wa Tanzania |
No comments:
Post a Comment