Hii ni blog rasmi ya TAWI LA SIMBA MPIRA NA MAENDELEO KATA YA UPANGA MAGHARIBI ambapo kupitia blog hii utapata habari zote zinazohusiana na tawi na SIMBA kwa ujumla wake.
Tuesday, June 4, 2013
Picha za Jinsi Marehemu Ngwear Alivyopokelewa Leo Airport Dar es Salaam
Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko
Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja
hospitali ya Muhimbili, umati wa watu umefika uwanja wa ndege
kushuhudia na kumpokea Ngwea.
No comments:
Post a Comment