Neymar amesema kuwa Cristiano Ronaldo alijaribu kumshawishi ili ajiunge na Real Madrid.
Mbrazilo huyo
alilazimika kuisikiliza zaidi familia yake kabla ya kuamua kujiunga na Barcelona
na anasema kucheza timu moja na nyota kama Lionel Messi kwake ni heshima.
Neymar ametanabaisha
kuwa Cristiano Ronaldo, Kaka na Marcelo walimshawishi sana ili ajiunge na Real
Madrid msimu wa kiangazi kabla ya jaribio lao kushindikana.
Amenukuliwa akisema
"Ronaldo, Kaka,
Marcelo... Lots of people said I should sign for Real," Neymar told Marca.
"But, in the end, I made a decision, which I discussed a lot with my
family, and I'm very happy with the path I've chosen to play in Europe."
Klabu ya Barcelona
imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Neymar ambaye ametua klabuni hapo kwa
mara ya kwanza kwa ajili ya kuanza kuitumikia timu hiyo.
No comments:
Post a Comment