1. Chanongo anauwahi mpira.. |
2. Anaanza kuchanja mbuga.. |
3. Safari.. |
4. Kama anapunguza mwendo.. |
5.Anaanza tena safari.. |
6. Anaingia kwenye 18.. |
7. Anamfinya beki.. |
8. Anaizungusha.. |
9. Wayaaaa... |
10. Nyavu zimetikisika, yeye anakimbia katika kibendera.. |
No comments:
Post a Comment