Wachezaji
wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayodhaminiwa na
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager,
kutoka kulia Zahor Pazi, Nadir Haroub 'Cannavaro' na Aggrey Morris
wakiingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, tayari kwa
safari ya Addis Ababa, Ethiopia usiku huu ambako wataweka kambi ya
mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji Ethiopia kabla ya kwenda Morocco
kucheza mchezo wa Kundi C kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la
Dunia nchini Brazil mwakani.
|
No comments:
Post a Comment