Wednesday, May 22, 2013

MFADHILI MKUU WA TAWI LA MPIRA NA MAENDELEO KATA YA UPANGA MAGHARIBI


 kampuni ya mafuta inayosifika kwa ubora wa hali ya juu kwenye suala zima la mafuta ya taa,disel na petrol nchini kampuni ya BIG BON imekuwa ni mhimili mkuu katika kuhakikisha kuwa tawi la simba mpira na maendeleo linafanya shughuli zake za ndani na nje ya mkoa wa dar es salaam kwa uhakika zaidi.
 baadhi ya wadau wa simba ambao ni wawakilishi wa kampuni ya BIG BON toka kituo chao cha mauzo kariakoo jirani na yalipo makao makuu ya chama la wana unyama unyamani SIMBA SPORTS CLUB wakitoa support kwa chama lao kwenye moja ya michezo ya ligi kuu ya msimu ulioisha hivi karibuni
 kama unadhani kazi yao ni usambazaji wa mafuta tu!utakuwa umekosea hawa jamaa ni wasambazaji wa mafuta bora sana kwa hapa nchini lakini pia ni wauzaji wa mafuta mazuri yasiyochakachuliwa kama vituo vingine jaribu uone tofauti ya BIG BON na wao
 full mavuvuzela kumchagiza mnyama tunataka ushindi asee
 mashine za kutosha katika kuhakikisha kuwa unahudumiwa kwa haraka zaidi pasina kuweka foleni isiyo na maana tembelea vituo vyetu vyote vya BIG BON then uone tofauti iliyopo na kampuni nyingine za kuuza bidhaa hii muhimu nchini.
siku zote kwetu vitendo kazi maneno mwiko wao wakigoma sisi tunaendelea kutoa huduma kama kawa kwa kuwa lengo na dhumuni letu ni kuona tunatoa huduma kwa kila mtanzania mwenye uhitaji wa nishati hii adhimu nchini.

No comments:

Post a Comment