Thursday, May 23, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA CHAKULA CHA MCHANA NA WACHEZAJI TAIFA STARS IKULU DAR ES SALAAM LEO

na bin zubeiry
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Nahodha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Juma Kaseja Ikulu mjini Dar es Salaam leo, wakati rais huyo alipowaalika wachezaji wa timu hiyo kwa ajili ya chakula cha mchana.

Rais Kikwete akisalimiana na Amri Kiemba

Akisalimiana na Simon Msuva, huku Shomary Kapombe akijiandaa naye

Akisalimiana na Ally Mustafa 'Barthez'

Akisalimiana na Kocha Kim Poulsen 

Hapa akiwahutubia wachezaji hao baada ya chakula

Katika picha ya pamoja na wachezaji wa Stars

Picha ya pamoja na viongozi na wachezaji

Kaseja akichukua ushauri kwa Meneja wa Taifa Stars, Leopold Mukebezi kabla ya kwenda kutoa hotuba yake fupi kwa niaba ya wachezaji wenzake

Rais akisalimiana na Tedi mapunda

Kutoka kulia kocha wa makipa, Juma Pondamali, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Stars Ishinde, Dk Ramadhani Dau, Nadir Cannavaro, Erasto Nyoni na Mrisho Ngassa

Kaseja akiwa na Tedi Mapunda

Kutoka kulia Kaseja, Ibrahim Masoud na Cannavaro

Kocha Kim Poulsen akiondoka baada ya kusalimiana na Rais Kikwete, anayemfuatia ni Cannavaro

Khamis Mcha 'Vialli' akiondoka kwa furaha baada ya kusalimiana na Rais Kikwete

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi akisikiliza hotuba ya rais Kikwete, kulia kwake ni kocha Poulsen na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezi, Dk Fenella Mukangara

Frank Domayo kulia na Simon Msuva kushoto

Mrisho Ngassa kulia na Aggrey Morris kushoto

Mwinyi Kazimoto kulia na Haruna Chanongo kushoto

Shomary Kapombe kulia na Nadir Cannavaro kushoto

Meneja wa bia ya Kilimanjaro, wadhamini wa Taifa Stars, George Kavishe akiwa na Athumani Iddi 'Chuji' kulia na Shomary Kapombe kushoto

No comments:

Post a Comment