tawi la simba mpira na maendeleo lililoko kata ya upanga magharibu jijini dar es salaam linataraji kuzuru bagamoyo katika picinic ya kujifariji na kujipongeza kwanza kutokana na kufanikiwa kupata usajili wa tawi toka makao makuu lakini pia kutokana na kushiriki kwao katika harakati mbali mbali za kuisaidia simba toka dakika ya kwanza ya msimu uliopita mpaka dakika ya mwisho ya msimu.
mpira na maendeleo licha ya ugeni wao kwenye orodha ya matawi ya simba lakini wamefanikiwa katika kuhakikisha kuwa wanakuwa sehemu ya mafanikio ya simba katika kila simba ifanyanyacho.hii leo tawi la simba mpira na maendeleo lilikuwa na mkutani na tawi la simba mpira ushindi la buguruni kwa mnyamani na lengo la mkutano huo ni kuunda ushirikiano wa matawi haya mawili ambapo tawi la mpira maendeleo liliwakilishwa na katibu mkuu wake bwana ngumi jiwe sanjari na bwana kakobe ambaye ni hafisa habari wa mpira maendeleo,huku tawi la mpira ushindi likiwakilishwa na mwenyekiti wa tawi hilo bwana kasim msingiri na katibu mkuu wa tawi hilo bwana hawadhi issa.
katibu wa tawi la simba mpira akisalimiana na nassoro masoud chollo pembeni ya kocha msaidizi jamhuri kiwelu julio wakiwa wanaingia uwanjani msimu uliopita katika mechi kati ya yanga wadogo aka toto na mnyama unyamani aka simba
katibu akishow love na mbavu ya kulia ya simba chollo boy
kushoto katupwa kakobe kulia katupwa ngumi jiwe otea kati yuko nani?
kama kawa kama dawa oya oya ndo desturi yetu mwanzo mwisho kushangilia tu
nakshi nakshi kama kawa huwa hawakosi kwenye misafara ya mpira na maendeleo
kocha ambaye amepotezewa msimbazi akipiga soga na wadau wa mnyama unyamani
we kakobe wewe unamwambia nini huyo msaliti?
kakobeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
baada ya kutoka sare hapa sijui julio anawadanganya nini wadau wake asee
kama wako kwenye mipango?????
wadau wa mpira na maendeleo wakishow love
kuna maswali kwani?????????????
wataelewa tu
wapi hiyoooo??????????????????
tunajipongeza aseeeeeeeeeeeeeeeee
No comments:
Post a Comment