Sunday, May 19, 2013

BABU WA SIMBA MAJI KUPWA MAJI KUJAA SO SOON WILL BE FIRED

Taarifa za ndani ya club ya SIMBA SPORTS CLUB zinasema kuwa muda wowote toka sasa babu patrick lewig anaweza kutupiwa virago kuifunza chama la wana msimbazi aka SIMBA kutokana na sababu mbalimbali ambazo viongozi wa juu wa simba hawakutaka kuweka wazi.

  mfaransa huyo ambaye anasifika kwa kuwaamini vijana kufanya kazi aitakayo uwanjani amekuwa na wakati mgumu sana katika benchi la ufundi la timu ya simba kutokana na ukweli kwamba amekuwa mkali kupitiliza kitu kinachopelekea wachezaji wengi kumuogopa.

 dalili zinaonyesha kuwa kocha mwenye mafanikio makubwa ndani ya simba king kibaden mputa kuna asilimia zaidi ya 99 za kukabidhiwa timu huku msaidizi wake akiwa mganda asiye na makuu moses basena
 ikumbukwe wawili hawa walishawahi kufanya kazi pamoja ambapo basena alikuwa kocha mkuu huku kibaden akiwa mkurugenzi wa ufundi.
 tusubiri na tuone nini uongozi wa juu ambao utakutana hivi karibuni utaamua baada ya kukutana

kibaden akiwa na wadau wa friends of simba
enzi zile za amatare kama kocha msaidizi,basena kama kocha mkuu huku kibaden akiwa mkurugenzi wa ufundi

No comments:

Post a Comment