roho ya unyamani SHOMARI KAPOMBE
CHOLLO BOY ndani ya rock city
mwanahabari wa mpira na maendeleo alikuwa moja kati ya mashuhuda aka KAKOBE
tanzania one wa baadae
achana na hii mashine asee HARUNA CHANONGO
mzazi aka simba mwanachama MRISHO NGASSA
nyuma ya mafanikio ya mpira na maendeleo kama tawi basi yuko mpambanaji aka NGUMI JIWE
kama presha milioni kama mzee KORONGO samahani baki nyumbani
kwetu mwanzo mwisho kuimba
kama kuna maswali majibu yapo mpira na maendeleo
mjombaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
achana na babu full misimamo asee
KAKOBE full mauzo ha ha ha ha ha ha
umeiona futi sita ha ha ha ha ha ha DHAILAH
Chama la wana MPIRA NA MAENDELEO
NDANI YA ROCK CITY
TIME YA KUJIPOZA KIDOGO
No comments:
Post a Comment