![]() |
kocha mkuu wa soka mfaransa Patrick Liweng akitoa maelekezo kiwanja . |
Klabu ya soka simba ikiwa mazoezini
katika uwanja wa mao zanzibar katika kujiandaa na mchezo dhidi ya watani
wao wa jadi yanga africa utakaochezwa katika uwanja wa taifa jumamosi
timu hiyo ipo unguja kwa mazoezi sanjari na wenzao yanga mabao wapo
pemba .
Naam bila shaka mioyo ya mashabiki itakuwa inasubiili nini kitakea siku ya jumamosi may 18 pale simba itakapo kwaana na yanga kwa sasa hari tete baada ya timu zote mbili kuweka kambi katika visiwa vya karafuu huko zanzibar

Mlinda wa timu ya simba juma kaseja akidata mpira katika mazoezi uwanja wa mao leo katika kujiandaa na mchezo wa dhidi watani wao yanga ambao na wao wako pemba ambao utakuwa ni mchezo wa ligi kuu soka vodacom .
fantastick
fantastick
Wachezaji wa timu ya soka simba wakiwa
katika uwanja wa mao jioni ya leo wakifanya mazoezi ya kujindaa na
mchezo dhidi ya yanga utakaofanyiaka jumamosi may kumi nane .
No comments:
Post a Comment