Monday, May 13, 2013

SIMBA SC ILIVYOJIFUA LEO MAO DZE TUNG

kwa hisani ya bin zubeiry blog

Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini jioni ya leo kwenye Uwanja wa Mao Dze Tung, Zanzibar kujiandaa na mchezo dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC Jumamosi wiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 

Mussa Mudde anamiliki mpira

Nassor Masoud 'Chollo' kulia 

Mwinyi Kazimoto akimiliki mpira katikati ya Shomary Kapombe na Haruna Shamte. Kulia Mrisho Ngassa na Jonas Mkude

Kocha Mfaransa Patrick Liewig akiongoza vijana

Jalamba lilinoga leo Mao

Juma Kaseja yuko fiti

Abbel Dhaira yuko fiti pia

Hata Abuu Hashim anaweza kuanza pia Jumamosi   

No comments:

Post a Comment